٢١٢- باب فضل قيام الليل
وعنْ أَنَسٍ رضِي اللَّه عَنْهُ، قالَ: كَانَ رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يُفطِرُ منَ الشَّهْرِ حتَّى نَظُنَّ أَنْ لاَ يَصُومَ مِنهُ، ويصَومُ حتَّى نَظُن أَن لاَ يُفْطِرَ مِنْهُ شَيْئاً، وَكانَ لاَ تَشَاءُ أَنْ تَراهُ مِنَ اللَّيْلِ مُصَلِّياً إِلا رَأَيْتَهُ، وَلا نَائماً إِلا رَأَيْتَهُ. رواهُ البخاريُّ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU
Imepokewa kutaka kwa Anas ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ alikuwa akifwatiliza kula katika mwezi mpaka tukidhani kuwa hatafunga katika mwezi huo, na akifwatiliza kufunga mpaka tukidhani kuwa hatakula katika mwezi huo hata kidogo. Na alikuwa, wakati wowote katika usiku ukitaka kumuona anaswali, utamuona akiswali, wala hutotaka kumuona amelala, ila utamuona amelala.”
[ Imepokewa Bukhârî ].