BUSTANI YA WATU WEMA
عن أَبِي ذرٍّ جُنْدَبِ بنِ جُنَادَةَ رضي اللَّه عنه قال : قلت يا رسولَ اللَّه، أيُّ الأعْمالِ أفْضَلُ ؟ قال : « الإِيمانُ بِاللَّهِ ، وَالجِهَادُ فِي سَبِيلِهِ » . قُلْتُ : أيُّ الرِّقَابِ أفْضَلُ ؟ قال : « أنْفَسُهَا عِنْد أهْلِهَا ، وأكثَرُهَا ثَمَناً » . قُلْتُ : فَإِنْ لَمْ أفْعلْ ؟ قال : « تُعينُ صَانِعاً أوْ تَصْنَعُ لأخْرَقَ » قُلْتُ : يا رسول اللَّه أرَأيتَ إنْ ضَعُفْتُ عَنْ بَعْضِ الْعملِ ؟ قال : « تَكُفُّ شَرَّكَ عَن النَّاسِ فَإِنَّها صدقةٌ مِنْكَ على نَفسِكَ » . متفقٌ عليه
Kutoka Abuu Dharr, Jundub bin Junaadah Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Nilimuuliza Mtume ﷺ : [Ni ‘amali gani bora zaidi? Akajibu: [Ni kumuamini Mwenyezi Mungu na kupigana Jihaad katika njia Yake.] Nikamuuliza: Ni mtumwa gani bora zaidi wakumuachu huru ? Akasema: [Ni yule aliye mbora na mzuri kwa watu wake na mwenye thamani kubwa.] Nikamuuliza: Nisipoweza? Akajibu: [Umsaidie mwenye kuhitaji au umsaidie kazi yule ambaye hana ujuzi nayo.] Nikamuuliza: Ewe Mtume wa Mwenyezi Mungu, waonaje ni kidhofika nisiweze kufanya baadhi ya Matendo? Akajibu: [Utaizuia shari yako isiwafikie watu; kufanya hivyo ni sadaka juu ya nafsi yako.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى