November 12, 2025
0 Comments
٢١٢- باب فضل قيام الليل
وَعَنِ ابنِ عُمَرَ رَضِيَ اللَّه عَنْهُمَا، أَن النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “صَلاةُ اللَّيْلِ مَثْنَى مَثْنَى، فَإِذا خِفْتَ الصُّبْح فَأَوْتِرْ بِواحِدَةِ“ متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU
Imepokewa kutaka kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar ( Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Swala ya usiku ni rakaa mbili mbili, utakapochelea kutokeza asubuhi, Swali Witri ya rakaa moja.” [ Wameaikiana Bukhari na Muslim ].