November 12, 2025
0 Comments
٢١٢- باب فضل قيام الليل
وَعنْ أَبي هُريرةَ رَضِيَ اللَّه عَنْهُ قالَ: قالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “أَفْضَلُ الصيَّامِ بعْدَ رَمَضَانَ شَهْرُ اللَّهِ المُحَرَّمُ، وَأَفْضَلُ الصَّلاةِ بعدَ الفَرِيضَةِ صَلاةُ اللَّيْل” رواه مُسلِمٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU
Imepokewa kutaka kwa Abû Huraira ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Saumu ilio bora baada ya Ramadhani, ni mwezi wa Allâh ambao ni Muharram, na Swala ilio bora zaidi baada ya Swala ya faradhi, ni Swala ya usiku.” [ Imepokewa na Muslim ].