0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1166. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadila ya kuswali Usiku


٢١٢- باب فضل قيام الليل


 وَعن عبدِ اللَّهِ بنِ سَلاَمٍ رَضِيَ اللَّه عَنْهُ، أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قالَ: ” أَيُّهَا النَّاسُ أَفْشوا السَّلامَ، وَأَطْعِمُوا الطَّعَامَ، وَصَلُّوا باللَّيْل وَالنَّاسُ نِيامٌ، تَدخُلُوا الجَنَّةَ بِسَلامٍ

رواهُ الترمذيُّ وقالَ: حديثٌ حسنٌ صحيحٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU


Imepokewa kutaka kwa ‘Abdullâh bin Salâm ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amepokea: “Mtume amesema: “Enyi watu, enezeni salamu, lisheni chakula, na mswali (Swala za usiku) na watu wamelala, mtaingia Peponi kwa amani.”    [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh. ].


Begin typing your search above and press return to search.