0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1164. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadila ya kuswali Usiku


٢١٢- باب فضل قيام الليل


وعن ابن مَسْعُودٍ رضيَ اللَّه عنْهُ، قَالَ: ذُكِرَ عِنْدَ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم رَجُلٌ نَامَ لَيْلَةً حَتى أَصبحَ، قالَ: “ذاكَ رَجُلٌ بَالَ الشَّيْطَانُ في أُذنَيْهِ أَو قَالَ: في أُذنِه “،       متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU


Imepokewa kutaka kwa ‘Abdullâh bin Mas‘ûd ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Alitajwa mtu mbele ya Mtume aliyelala usiku hadi akapambaukiwa!” Mtume Akasema: “Huyo ni mtu ambaye shetani amemkojolea masikioni mwake.” Au alisema: “..sikioni mwake.”  [ Wameaikiana bukhari na Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.