November 2, 2025        
        
            
            0 Comments        
    
٢١٢- باب فضل قيام الليل
وَعَنْ عليٍّ رَضِيَ اللَّه عنْهُ، أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم طَرقَهُ وَفاطِمَةَ لَيْلاً، فَقَالَ: “أَلا تُصلِّيَانِ؟ “ متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU
Imepokewa kutaka kwa ‘Alî ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ alimgongea yeye na Fâtima wakati wa usiku, akawauliza: “Hamswali?” [ Wameaikiana bukhari na Muslim ].