٢١٢- باب فضل قيام الليل
وَعَن عائِشَةَ رَضِيَ اللَّه عَنْها، قَالَتْ: كَانَ النَّبِيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَقُومُ مِنَ اللَّيْلِ حَتى تَتَفطَّر قَدَمَاه، فَقُلْتُ لَهُ: لِمَ تَصْنَعُ هَذَا يَا رسُول اللَّهِ وَقد غُفِرَ لَكَ مَا تَقَدَّم مِن ذَنْبِكَ وَمَا تَأَخَّرَ؟ قَالَ:”أَفَلا أَكُونُ عَبْدًا شَكُورًا”. متفقٌ عَلَيْهِ. وعَنِ المغيرةِ بنِ شعبةَ نحوهُ، متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
213. MLANGO WA FADHILA YA KUSWALI USIKU
Imepokewa kutaka kwa Âisha ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ alikuwa akiswali usiku mpaka miguu yake ikipasuka. Nikamwuliza: “Mbona wafanya hivi Yâ Rasûlallâh, na ilihali umesamehewa dhambi zako zilizotangulia na zitakazokuja?” Akaniambia: “Je, nisiwe ni mja mwenye kushukuru!” [ Wameaikiana bukhari na Muslim ]. Al-Mughîra bin Shu’bah pia amepokea Hadîth kama hii.