0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1158. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadila ya siku ya Ijumaa kupasa kwake, kuoga kwa ajili ya Swala hiyo…


٢١٠- باب فضل يوم الجمعَة ووُجوبها والاغتِسال لَهَا والتطيّب والتبكير إِلَيْهَا والدعاء يوم الجمعة والصلاة عَلَى النبيّ صلى الله عليه وسلم فيه وبيان ساعة الإجابة واستحباب إكثار ذكر الله بعد الجمعة


وَعَنْ أَوسِ بنِ أَوسٍ رَضِيَ اللَّه عَنْهُ قَالَ: قَالَ رسُولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إِنَّ مِنْ أَفضَلِ أَيَّامِكُمْ يَوْم الجُمُعَةِ، فأَكثروا عليَّ مِنَ الصَّلاةِ فِيهِ، فَإِنَّ صَلاتَكُمْ مَعْروضَةٌ عليَّ”     رواه أَبُو داود بإِسناد صحيح


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



210. MLANGO WA FADHILA YA SIKU YA IJUMAA, KUPASA KWAKE, KUOGA KWA AJILI YA SWALA HIYO, KUJIPAKA MANUKATO, KUENDA MAPEMA, KUOMBA DUA SIKU YA IJUMAA, KUMSWALIA MTUME ﷺ KATIKA SIKU HIYO, KUBAINISHA SAA YA KUJIBIWA DUA NA SUNNAH YA KUKITHIRISHA KUMTAJA ALLÂH BAADA YA SWALA YA IJUMAA


Imepokewa kutaka kwa Aws bin Aws ( Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesema: “Mtume amesema: “Hakika siku zenu zilizo bora mno, ni siku ya Ijumaa, basi kithirisheni kuniswalia siku hiyo, hakika Swala zenu huwa naletewa.”     [ Imepokewa na Abû Dâwûd isnadi yake ni Sahîh..]


Begin typing your search above and press return to search.