0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1156. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadila ya siku ya Ijumaa kupasa kwake, kuoga kwa ajili ya Swala hiyo…


٢١٠- باب فضل يوم الجمعَة ووُجوبها والاغتِسال لَهَا والتطيّب والتبكير إِلَيْهَا والدعاء يوم الجمعة والصلاة عَلَى النبيّ صلى الله عليه وسلم فيه وبيان ساعة الإجابة واستحباب إكثار ذكر الله بعد الجمعة


وعَنْ أَبي هُريرةَ رضي اللَّه عَنْهُ أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم ذَكَرَ يَوْمَ الجُمُعَةِ، فَقَالَ: “فِيه سَاعَةٌ لا يُوَافِقها عَبْدٌ مُسلِمٌ، وَهُو قَائِمٌ يُصَلِّي يسأَلُ اللَّه شَيْئاً، إِلاَّ أَعْطَاهُ إِيَّاه” وَأَشَارَ بِيدِهِ يُقَلِّلُهَا،     متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



210. MLANGO WA FADHILA YA SIKU YA IJUMAA, KUPASA KWAKE, KUOGA KWA AJILI YA SWALA HIYO, KUJIPAKA MANUKATO, KUENDA MAPEMA, KUOMBA DUA SIKU YA IJUMAA, KUMSWALIA MTUME ﷺ KATIKA SIKU HIYO, KUBAINISHA SAA YA KUJIBIWA DUA NA SUNNAH YA KUKITHIRISHA KUMTAJA ALLÂH BAADA YA SWALA YA IJUMAA


Imepokewa kutaka kwa Abû Huraira  ( Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesimulia kuwa Mtume aliitaja siku ya Ijumaa, na akasema: “Ndani yake muna saa ambayo mja yeyote Mwumini atakayeiafiki naye amesimama anaswali anamuomba Allâh jambo lolote, ni hakika Allâh Atampa jambo hilo.” Akaashiria kwa mkono wake kuwa ni mda mchache.         [ Wameafikiana Bukhârî na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.