٢١٠- باب فضل يوم الجمعَة ووُجوبها والاغتِسال لَهَا والتطيّب والتبكير إِلَيْهَا والدعاء يوم الجمعة والصلاة عَلَى النبيّ صلى الله عليه وسلم فيه وبيان ساعة الإجابة واستحباب إكثار ذكر الله بعد الجمعة
وعن أَبي سعيدٍ الخُدْرِيِّ رَضِيَ اللَّه عَنْهُ، أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قالَ: “غُسْلُ يَوْمِ الجُمُعَةِ وَاجِبٌ عَلَى كلِّ مُحْتَلِمٍ” متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
210. MLANGO WA FADHILA YA SIKU YA IJUMAA, KUPASA KWAKE, KUOGA KWA AJILI YA SWALA HIYO, KUJIPAKA MANUKATO, KUENDA MAPEMA, KUOMBA DUA SIKU YA IJUMAA, KUMSWALIA MTUME ﷺ KATIKA SIKU HIYO, KUBAINISHA SAA YA KUJIBIWA DUA NA SUNNAH YA KUKITHIRISHA KUMTAJA ALLÂH BAADA YA SWALA YA IJUMAA
Imepokewa kutaka kwa ‘Abû Sa‘îd al-Khudry ( Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Kuoga siku ya Ijumaa ni wajibu kwa kila aliyebaleghe.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim.]