0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

115 ANACHOSEMA MUISLAMU AKISIFIWA

ANACHOSEMA MUISLAMU AKISIFIWA

[ اللهم لا تؤاخذني بما يقولون ، واغفر لي مالا يعلمون [واجعلني خيراً مما يظنون ]

 البخاري في الأدب المفرد برقم 761

[Ewe Mwenyezi Mungu usinichukulie kwa yale wanayoyasema na unisamehe kwa yale wasiyoyajua, (na unifanye bora kuliko wanavyonifikiria]    [Imepokewa na Bukhari katika Al-Adabul-Mufrid]

ANACHOSEMA MUISLAMU AKISIFIWA

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.