0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1141. Riyadhu Swalihina Mlango wa Fadhila ya Swala ya Dhuha kubainisha uchache wake, Wingi wake na wastani wake na kadhalika…


٢٠٦- باب فضل صلاة الضحى وبيان أقلِّها وأكثرها وأوسطها، والحثِّ عَلَى المحافظة عَلَيْهَا


وعَنْ عائشةَ رضيَ اللَّه عَنْها، قالتْ: كانَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يصلِّي الضُّحَى أَرْبعاً، ويزَيدُ مَا شاءَ اللَّه.       رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



206. MLANGO WA FADHILA YA SWALA YA DHUHÂ, KUBAINISHA UCHACHE WAKE, WINGI WAKE NA WASTANI WAKE, NA MAHIMIZO JUU YA KUIHIFADHI SWALA HIYO


Imepokewa kutoka kwa ‘Âisha  ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume alikuwa akiswali Dhuhâ rakaa nne, na akizidisha kiasi Apendavyo Allâh.”    [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.