0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1140. Riyadhu Swalihina Mlango wa Fadhila ya Swala ya Dhuha kubainisha uchache wake, Wingi wake na wastani wake na kadhalika…


٢٠٦- باب فضل صلاة الضحى وبيان أقلِّها وأكثرها وأوسطها، والحثِّ عَلَى المحافظة عَلَيْهَا


وعَنْ أَبي ذَر رَضِي اللَّه عَنْهُ، عن النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “يُصبِحُ عَلى كُلِّ سُلامَى مِنْ أَحدِكُمْ صدقَةٌ: فَكُلُّ تَسبِيحة صدَقةٌ، وَكُلُّ تَحمِيدةٍ صَدَقَة، وكُل تَهليلَةٍ صدَقَةٌ، وَكُلُّ تَكبيرَةٍ صدَقةٌ، وأَمر بالمعْروفِ صدقَةٌ، ونهيٌ عنِ المُنْكَرِ صدقَةٌ، ويُجْزِئ مِن ذلكَ ركْعتَانِ يركَعُهُما مِنَ الضُّحَى “      رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



206. MLANGO WA FADHILA YA SWALA YA DHUHÂ, KUBAINISHA UCHACHE WAKE, WINGI WAKE NA WASTANI WAKE, NA MAHIMIZO JUU YA KUIHIFADHI SWALA HIYO


Imepokewa kutoka kwa Abû Dharri ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amepokea: “Mtume amesema: “Hupambaukiwa kiungo cha kila mmoja wenu kulazimika kutoa sadaka. Kila Tasbihi ni sadaka, kila Tahmidi ni sadaka, kila Tahlili ni sadaka, kila Takbir ni sadaka, kuamrisha mema ni sadaka na kukataza mabaya ni sadaka; yote hayo hutoshelezwa na rakaa mbili za Dhuhâ mtu anapoziswali.”      [ Imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.