0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1138. Riyadhu Swalihina Mlango wa mahimizo ya kuswali Swala ya Witri kubainisha kuwa ni Sunna ilosisitizwa


٢٠٥- باب الحثِّ على صلاة الوتر وبيان أنه سُنة مؤكدة وبيان وقته


وعَنْ جابرٍ رضِي اللَّه عنْهُ، قَالَ: قالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “منْ خَاف أَنْ لاَ يَقُوم مِنْ آخرِ اللَّيْلِ، فَليُوتِرْ أَوَّلَهُ، ومنْ طمِع أَنْ يقُومَ آخِرَهُ، فَليوتِرْ آخِر اللَّيْل، فإِنَّ صَلاَةَ آخِرِ اللَّيْلِ مشْهُودةٌ، وذلكَ أَفضَلُ “    رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



205. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSWALI SWALA YA WITRI, KUBAINISHA KUWA NI SUNNAH ILIOSISITIZWA NA KUBAINISHA WAKATI WAKE


Imepokewa kutoka kwa Jâbir ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume amesema: “Anayechelea kutoamka mwisho wa usiku, basi aswali Witri mwanzo wake, na anayetumai kusimama mwisho wa usiku, basi aswali Witri mwisho wa usiku, hakika Swala ya mwisho wa usiku inahudhuriwa na Malaika, na kufanya hivyo ni bora zaidi.”    [ imepokewa na Muslim.]


Begin typing your search above and press return to search.