October 16, 2025
0 Comments
٢٠٥- باب الحثِّ على صلاة الوتر وبيان أنه سُنة مؤكدة وبيان وقته
“وعَنِ ابن عُمَرَ رَضِيَ اللَّه عَنهمَا، أَنَّ النَّبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “بَادِروا الصُّبْحَ بالوِتْرِ
رَوَاه أَبُو داود، والترمذي وقالَ: حديثٌ حسنٌ صحيحٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
205. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSWALI SWALA YA WITRI, KUBAINISHA KUWA NI SUNNAH ILIOSISITIZWA NA KUBAINISHA WAKATI WAKE
Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: ““Harakisheni kuswali witri kabla ya alfajiri (asubuhi kuingia).” [ imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]