٢٠٥- باب الحثِّ على صلاة الوتر وبيان أنه سُنة مؤكدة وبيان وقته
وعن عائشةَ، رضيَ اللَّه عَنْهَا، أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم كانَ يُصلِّي صَلاتَهُ بِاللَّيْلِ، وهِ ي مُعْتَرِضَةٌ بينَ يَدَيهِ، فَإذا بقِيَ الوِتْرُ، أَيقِظهِا فَأَوْترتْ. رواه مسلم
وفي روايةٍ لَهُ: فَإذا بَقِيَ الوترُ قالَ:”قُومِي فَأَوْتِري يَا عَائشةُ”
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
205. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSWALI SWALA YA WITRI, KUBAINISHA KUWA NI SUNNAH ILIOSISITIZWA NA KUBAINISHA WAKATI WAKE
Imepokewa kutoka kwa ‘Âisha ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ alikuwa akiswali Swala zake za usiku naye (‘Âisha) amekingama mbele yake. Inapobakia Witri, humwamsha naye akaswali Witri.” [ imepokewa na Muslim.]
Riwaya nyingine ya Muslim imesema: “…inapobakia Witri huniambia: “Simama na uswali Witri ewe ‘Âisha.”