October 15, 2025
0 Comments
٢٠٥- باب الحثِّ على صلاة الوتر وبيان أنه سُنة مؤكدة وبيان وقته
وَعَنْ أَبي سعيدٍ الخُدْرِيِّ رضِي اللَّه عَنْهُ، أَنَّ النَّبيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قالَ: “أَوْتِرُوا قبْلَ أَنْ تُصْبِحُوا” رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
205. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSWALI SWALA YA WITRI, KUBAINISHA KUWA NI SUNNAH ILIOSISITIZWA NA KUBAINISHA WAKATI WAKE
Imepokewa kutoka kwa Abû Sa‘îd al-Khudry ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Swalini Witri kabla hamjapambaukiwa.” [ Imepokewa na Musalim. ]