October 15, 2025
0 Comments
٢٠٥- باب الحثِّ على صلاة الوتر وبيان أنه سُنة مؤكدة وبيان وقته
وعنِ ابنِ عُمرَ رَضِيَ اللَّه عَنْهمَا، عَنِ النَّبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “اجْعلوا آخِرَ صلاتِكُمْ بِاللَّيْلِ وِتْراً” متفقٌ عَلَيهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
205. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSWALI SWALA YA WITRI, KUBAINISHA KUWA NI SUNNAH ILIOSISITIZWA NA KUBAINISHA WAKATI WAKE
Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar ( Radhi za Allah ziwe juu yao) amepokea kutoka kwa Mtume ﷺ amesema: “Fanyeni Swala yenu ya mwisho usiku ni Witri.” [ Wameafikiana Bukhai na Musalim. ].