October 14, 2025
0 Comments
٢٠٥- باب الحثِّ على صلاة الوتر وبيان أنه سُنة مؤكدة وبيان وقته
وَعَنْ عَائِشَةَ رضِيَ اللَّه عنْهَا، قَالَتْ: مِنْ كُلِّ الليْلِ قَدْ أَوْتَر رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم مِنْ أَوَّلِ اللَّيْلِ، ومَن أَوْسَطِهِ، وَمِنْ آخِرِهِ. وَانْتَهى وِتْرُهُ إِلَى السَّحَرِ. متفقٌ عَلَيْهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
205. MLANGO WA MAHIMIZO YA KUSWALI SWALA YA WITRI, KUBAINISHA KUWA NI SUNNAH ILIOSISITIZWA NA KUBAINISHA WAKATI WAKE
Imepokewa kutoka kwa ‘Âisha ( Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Katika kila usiku, Mtume ﷺ aliswali Witri; mwanzo wa usiku, katikati yake na mwisho wake. Witri ya Mtume ﷺ imekomea wakati wa maladaku.” [ Wameafikiana Bukhai na Musalim. ].