0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

113. MLANGO WA MAKRUHU YA KUVUVIA KATIKA KINYWAJI

باب كراهة النفخ في الشراب


عن أَبي سعيد الخدري – رضي الله عنه -: أنَّ النَّبيَّ – صلى الله عليه وسلم – نَهَى عَن النَّفْخ في الشَّرَاب، فَقَالَ رَجُلٌ: القَذَاةُ أراها في الإناءِ؟ فَقَالَ: { أهرقها}. قَالَ: إنِّي لا أرْوَى مِنْ نَفَسٍ وَاحدٍ؟ قَالَ: { فَأَبِنِ القَدَحَ إِذَاً عَنْ فِيكَ}   رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



113. MLANGO WA MAKRUHU YA KUVUVIA KATIKA KINYWAJI


Imepokewa na Abû Sa‘îd al-Khudry (Radhi za Allah ziwe juu yao) ameeleza kuwa Mtume ﷺ alikataza kuvuvia katika kinywaji. Mtu mmoja akauliza: “Je, nikikiona kitakataka katika chombo?” Akamwambia: “Kimwage.” Akasema: “Mimi sikati kiu kwa pumzi moja.” Akamwambia: “Kwa hivyo, kiondoe chombo katika kinywa chako (upumue nje).”     [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.]


Begin typing your search above and press return to search.