0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

113 DUA UNAYOMUOMBEA ULIYEMTUKANA

KINGA YA MUISLAMU

Imepokelewa kutoka kwa Abu Hurayra amemiskia Mtume ﷺ akisema:

اللهُمَّ فأَيُّمَا مُؤْمِنٍ سَبَبْتُهُ فَاجْعَلْ ذَلِكَ لهُ قُرْبةً إليكَ يَوْمَ القِيَامةِ

[Ewe Mwenyezi Mungu kwa Muislamu yoyote yule niliyemtukana basi fanya kwa hilo litakaemkurubisha kwako (ni thawabu kwake) siku ya Kiyama.]      [Imepokewa na Bukhari na Muslim.]

DUA UNAYOMUOMBEA ULIYEMTUKANA

 

Toa maoni yako

Begin typing your search above and press return to search.