0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1129. Riyadhu Swalihina Mlango wa Sunna ya kuswali Nafla nyumbani ima iwe ni ya Ratiba au nyongeza, na Maamrisho ya kugeuka katika Sunna pahali pa faradhi….


٢٠٤- باب استحباب جعل النوافل في البيت سواء الراتبة وغيرُها والأمر بالتحول للنافلة من موضع الفريضة أَو الفصل بينهما بكلام


وعن ابنِ عُمَرَ رضي اللَّه عنْهُما عَنِ النَّبِيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “اجْعَلُوا مِنْ صلاتِكُمْ فِي بُيُوتِكُمْ، وَلاَ تَتَّخِذُوهِا قُبُوراً” متفقٌ عليه


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



204. MLANGO WA SUNNAH YA KUSWALI NAFLA NYUMBANI, IMA IWE NI YA RATIBA AU NYENGINEZO, NA MAAMRISHO YA KUGEUKA KATIKA SUNNAH MAHALA PA FARADHI AU KUPAMBANUA KWA MANENO BAINA YAKE


Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume amesema: “Swalini Swala zenu (za Sunnah) majumbani mwenu, wala msiyafanye (majumba yenu) kuwa makaburi.”      [ Wameaikiana Bukharri Muslim ].


Begin typing your search above and press return to search.