October 12, 2025
0 Comments
٢٠٣- باب سُنّة الجمعَة
عنْ أَبي هُريرةَ رضِيَ اللَّه عَنْهُ قالَ: قالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إِذَا صَلَّى أَحدُكُمُ الجُمُعَةَ، فَلْيُصَلِّ بعْدَهَا أَرْبعاً” رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
203. MLANGO WA SUNNAH YA IJUMAA
Imepokewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume ﷺ alikuwa haswali baada ya Ijumaa mpaka aondoke, hapo akiswali rakaa mbili nyumbani mwake.” [ Imepokewa na Muslim.]