0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1125. Riyadhu Swalihina Mlango wa Sunna ya Magharibi baada yake na kabla yake.


٢٠١- باب سُنَّة المغرب بَعدَها وقبلَها


وعن أَنسٍ رَضيَ اللَّه وعنه قَالَ: كُنَّا بِالمَدِينَةِ فإِذا أَذَّنَ المُؤَذِّنُ لِصَلاةِ المَغرِبِ، ابْتَدَرُوا السَّوَارِيَ، فَرَكَعُوا رَكعَتْين، حَتى إنَّ الرَّجُلَ الغَرِيبَ ليَدخُلُ المَسجدَِ فَيَحْسَبُ أَنَّ الصَّلاةَ قدْ صُلِّيتْ مِنْ كَثرَةِ مَنْ يُصَلِّيهِما.   رَوَاهُ مُسْلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



201. MLANGO WA SUNNAH YA MAGHARIBI BAADA YAKE NA KABLA YAKE


Imepokelewa kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Tulipokuwa Madina, mwadhini wa magharibi ukiadhiniwa, Maswahaba wakikimbilia viguzo wakiswali rakaa mbili-mbili, hata mgeni anapoingia Msikitini hudhani kuwa kumeshaswaliwa kutokana na wingi wa waliokuwa wakiziswali.”      [ Imepokewa na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.