October 5, 2025
0 Comments
٢٠١- باب سُنَّة المغرب بَعدَها وقبلَها
وعن أَنسٍ رَضيَ اللَّه عَنْه قالَ: لَقَدْ رَأَيْتُ كِبارَ أَصحابِ رسولِ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يَبْتَدِرُونَا لسَّوَارِيَ عندَ المغربِ. رواه البخاري
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
201. MLANGO WA SUNNAH YA MAGHARIBI BAADA YAKE NA KABLA YAKE
Imepokelewa kutoka kwa Anas (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Kwa hakika niliwaona wakubwa katika Maswahaba wa Mtume ﷺ wakikimbilia viguzo wakati wa magharibi.” [ Imepokewa na Bukhârî. ]
Yaani wakiswali rakaa mbili kabla ya magharibi.