0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1122. Riyadhu Swalihina Mlango wa Sunna ya Magaribi baada yake na kabla yake.


٢٠١- باب سُنَّة المغرب بَعدَها وقبلَها


وَعَنْ عَبْدِ اللَّهِ بنِ مُغَفَّلٍ رَضِيَ اللَّه عنهُ، عَنِ النَّبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قالَ: “صَلُّوا قَبلَ المَغرِب” قَالَ في الثَّالثَةِ: “لمَنْ شَاءَ”     رواه البخاريُّ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



201. MLANGO WA SUNNAH YA MAGHARIBI BAADA YAKE NA KABLA YAKE


Imepokelewa kutoka kwa ‘Abdullâh bin Mughaffal (Radhi za Allah ziwe juu yake)  amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Swalini kabla magharibi.” Mara ya tatu akasema: “Kwa anayetaka.”     [ Imepokewa na Bukhârî. ]


Begin typing your search above and press return to search.