0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

112. MLANGO WA MAKRUHU YA KUNYWA KATIKA MDOMO WA KIRIBIKA NA KADHALIKA, NA KUBAINISHA KUWA KUFANYA HIVYO NI KARAHA TANZIH WALA SIO KARAHATU TAHRIM

باب كراهة الشرب من فم القربة ونحوها وبيان أنه كراهة تنـزيه لا تحريم


عن أَبي سعيد الخدري – رضي الله عنه -: أنَّ النَّبيَّ – صلى الله عليه وسلم – نَهَى عَن النَّفْخ في الشَّرَاب، فَقَالَ رَجُلٌ: القَذَاةُ أراها في الإناءِ؟ فَقَالَ: { أهرقها}. قَالَ: إنِّي لا أرْوَى مِنْ نَفَسٍ وَاحدٍ؟ قَالَ: { فَأَبِنِ القَدَحَ إِذَاً عَنْ فِيكَ}            رواه الترمذي، وقال: {حديث حسن صحيح}


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



112. MLANGO WA MAKRUHU YA KUNYWA KATIKA MDOMO WA KIRIBIKA NA KADHALIKA, NA KUBAINISHA KUWA KUFANYA HIVYO NI KARAHA TANZIH WALA SIO KARAHATU TAHRIM


Imepokewa na Abû Sa‘îd al-Khudry (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Mtume ﷺ amekataza vyombo kuvunjwa midomo yake na kunywewa humo.”     [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.