September 29, 2025
0 Comments
١٩٩- باب سُنّة الظهر
وعَنْ عَائِشَةَ رَضِيَ اللَّه عنْهَا، أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم كانَ إِذا لَمْ يُصَلِّ أَرْبعاً قبْلَ الظهْرِ، صَلاَّهُنَّ بعْدَها
رَوَاهُ الترمذيُّ وَقَالَ: حديثٌ حسنٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
199. MLANGO WA SUNNAH YA ADHUHURI
Imepokewa kutika kwa ‘Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume ﷺ alikuwa asiposwali rakaa nne kabla ya adhuhuri, huziswali baada yake.” [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan. ]