١٩٩- باب سُنّة الظهر
وعَنْ عبدِ اللَّهِ بن السائب رضِيَ اللَّه عَنْهُ أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم كانَ يُصَلِّي أَرْبعاً بعْدَ أَن تَزول الشَّمْسُ قَبْلَ الظُّهْرِ، وقَالَ:” إِنَّهَا سَاعَةٌ تُفْتَحُ فِيهَا أَبوابُ السَّمَاءِ، فأُحِبُّ أَن يَصعَدَ لِي فيهَا عمَلٌ صَالِحٌ” رواه التِّرمِذِيُّ وقالَ: حديثٌ حسنٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
199. MLANGO WA SUNNAH YA ADHUHURI
Imepokewa kutika kwa ‘Abdullâh bin as-Sâ-ib (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume ﷺ alikuwa akiswali rakaa nne baada ya jua kupinduka kabla ya adhuhuri, na akasema: “Huu ni wakati ambao milango ya mbinguni hufunguliwa. Kwa hivyo mimi napenda amali yangu njema ipande wakati huu.”
[ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh. ]