September 21, 2025
0 Comments
١٩٩- باب سُنّة الظهر
وعن أُمِّ حَبِيبَةَ رَضِيَ اللَّه عَنها قَالَتْ: قالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: ” منْ حَافظَ عَلى أَرْبَعِ ركعَاتٍ قَبْلَ الظُّهْرِ، وَأَرْبعٍ بَعْدَهَا، حَرَّمهُ اللَّه عَلَى النَّارَ
رواه أَبو داود، والترمذي وَقالَ: حديثٌ حسنٌ صحيحٌ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
199. MLANGO WA SUNNAH YA ADHUHURI
Imepokewa kutika kwa Ummu Habîbah (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Atakayedumu kuswali rakaa nne kabla ya adhuhuri na rakaa nne baada yake, Allâh Atamharamishia kuingia motoni.” [ Imepokewa na bû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh. . ]