١٩٩- باب سُنّة الظهر
وعَنْ عائِشَة رَضِيَ اللَّه عَنها قالتْ: كانَ النبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يُصَليِّ في بَيْتي قَبْلَ الظُّهْر أَرْبَعاً، ثُمَّ يخْرُجُ فَيُصليِّ بِالنَّاسِ، ثُمَّ يدخُلُ فَيُصَليِّ رَكْعَتَينْ، وَكانَ يُصليِّ بِالنَّاسِ المَغْرِب، ثُمَّ يَدْخُلُ بيتي فَيُصليِّ رَكْعَتْينِ، وَيُصَليِّ بِالنَّاسِ العِشاءَ، وَيدْخُلُ بَيْتي فَيُصليِّ ركْعَتَيْنِ. رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
199. MLANGO WA SUNNAH YA ADHUHURI
Imepokewa kutika kwa ‘Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume ﷺ alikuwa akiswali nyumbani mwangu kabla ya adhuhuri rakaa nne, kisha akitoka akiwaswalisha watu, halafu akiingia akiswali rakaa mbili. Na alikuwa akiwaswalisha watu magharibi kisha akiingia akiswali rakaa mbili, na akiwaswalisha watu Swala ya isha na akiingia nyumbani mwangu akiswali rakaa mbili.” Muslim.” [ Imepokewa na Muslim . ]