0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1114. Riyadhu Swalihina Mlango wa Sunna ya Adhuhuri.


١٩٩- باب سُنّة الظهر


 وعَنْ عائِشَة رَضِيَ اللَّه عنْهَا، أَنَّ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم كَانَ لا يدعُ أَرْبعاً قَبْلَ الظُّهْرِ،     رَوَاهُ البخاريُّ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



199. MLANGO WA SUNNAH YA ADHUHURI


Imepokewa kutika kwa ‘Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume ﷺ alikuwa haachi kuswali rakaa nne kabla ya adhuhuri.”     [ Imepokewa na Bukhârî. ]


Begin typing your search above and press return to search.