0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1112. Riyadhu Swalihina Mlango wa Sunna ya kulala ubavu wa Kulia baada ya Rakaa mbili za Alfajiri na msisitizo wa kufanya hivyo….


١٩٨- باب استحباب الاضطجاع بعد بعد ركعتي الفجر عَلَى جنبه الأيمن والحث عليه سواءٌ كَانَ تهجَّدَ بِاللَّيْلِ أمْ لا


وعنْ أَبي هُريرةَ رضيَ اللَّه عنهُ، قالَ: قالَ رسولُ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إِذا صَلَّى أَحَدُكُمْ ركْعَتَيِ الفَجْرِ فَلْيَضطَجِعْ عَلى يمِينِهِ

رَوَاه أَبو دَاوُدَ، وَالتِّرمِذِيُّ بأَسانِيدَ صحيحةٍ. قالَ الترمذي: حديثٌ حَسَنٌ صَحِيحٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



198. MLANGO WA SUNNAH YA KULALA UBAVU WA KULIA BAADA YA RAKAA MBILI ZA ALFAJIRI NA MSISITIZO WA KUFANYA HIVYO, IMA AWE AMESWALI TAHAJJUD USIKU AU HAKUSWALI


Imepokewa kutika kwa Abû Huraira  (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesema: “Mtume ﷺ  amesema: “Atakapomaliza mmoja wenu kuswali rakaa mbili za alfajiri, alale kwa ubavu wake wa kulia.”

 [ Imepokewa na Abû Dâwûd na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan Sahîh.. ]


Begin typing your search above and press return to search.