0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1111. Riyadhu Swalihina Mlango wa Sunna ya kulala ubavu wa Kulia baada ya Rakaa mbili za Alfajiri na msisitizo wa kufanya hivyo….


١٩٨- باب استحباب الاضطجاع بعد بعد ركعتي الفجر عَلَى جنبه الأيمن والحث عليه سواءٌ كَانَ تهجَّدَ بِاللَّيْلِ أمْ لا


عنْ عائِشَةَ رَضِي اللَّه وَعنْهَا قَالَتْ: كانَ النبيُّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يُصَلِّي فِيمَا بيْنَ أَنْ يفْرُغَ مِنْ صَلاَةِ الْعشَاءِ إلَى الْفجْرِ إحْدَى عَشْرَةَ رَكْعةً يُسَلِّمُ بيْنَ كُلِّ ركعَتيْنِ، ويُوتِرُ بِوَاحِدَةٍ، فَإذا سَكَتَ المُؤَذِّنُ مِنْ صلاةِ الْفَجْرِ، وتَبيَّنَ لَهُالْفَجْرُ، وَجاءَهُ المُؤَذِّنُ، قَامَ فَرَكَعَ رَكْعَتيْن خَفِيفَتَيْنِ، ثُمَّ اضْطَجَعَ عَلى شِقِّه الأَيْمَنِ، هكَذَا حَتَّى يأْتِيَهُ المُؤَذِّنُ للإِقَامَةِ

رَوَاهُ مُسْلِمٌ.،     قَوْلُهَا:”يُسلِّمُ بيْن كُلِّ رَكْعتَيْن”هكَذَا هو في مسلمٍ ومعناه: بعْد كُلِّ رَكْعتَيْنِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



198. MLANGO WA SUNNAH YA KULALA UBAVU WA KULIA BAADA YA RAKAA MBILI ZA ALFAJIRI NA MSISITIZO WA KUFANYA HIVYO, IMA AWE AMESWALI TAHAJJUD USIKU AU HAKUSWALI


Imepokewa kutika kwa ‘Âisha  (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume ﷺ alikuwa akiswali rakaa kumi na moja baina ya kumaliza Swala ya isha mpaka alfajiri, akitoa salamu katika kila rakaa mbili na akiswali Witri kwa rakaa moja. Mwadhini anapomaliza kuadhini katika Swala ya alfajiri na alfajiri ikamdhihirikia na mwadhini akamjia, husimama akaswali rakaa mbili hafifu kisha huegemea kwa ubavu wake wa kulia, akaendelea hivi mpaka mwadhini aje kwa ajili ya kukimu.”    [ Imepokewa na Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.