0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1109. Riyadhu Swalihina Mlango wa kuzikhafifisha Rakaa mbili za Alfajiri Ubainifu kinachoemwa ndani yake na ubainifu wa nyakati zake


١٩٧- باب تخفيف ركعتي الفجر وبيان مَا يقرأ فيهما، وبيان وقتهما


وعنِ ابنِ عمر رضِيَ اللَّه عنهُما، قَالَ: رمقْتُ النَّبِيَّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم شَهْراً يقْرَأُ في الرَّكْعَتيْنِ قَبْلَ الْفَجْرِ: {قُلْ يَا أَيُّهَا الكَافِرُونَ} [الْكَافِرُونَ: ١] ، و: {قل هُوَ اللَّه أَحَدٌ} [الإخلاص: ١]    رواهُ الترمذي وقال: حديثٌ حَسَنٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



197. MLANGO WA KUZIKHAFIFISHA RAKAA MBILI ZA ALFAJIRI, UBAINIFU WA KINACHOSOMWA NDANI YAKE NA UBAINIFU WA NYAKATI ZAKE


Imepokewa kutika kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia: “Nilimtaamali Mtume ﷺ mwezi mzima, alikuwa akisoma katika rakaa mbili za alfajiri: Qul yâ ayyuhal-kâfirûn na Qul-huwallâhu Ahad.”           [ Imepokewa na Tirmidhy, na amesema: Hadîth hii ni Hasan ]


Begin typing your search above and press return to search.