0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1108. Riyadhu Swalihina Mlango wa kuzikhafifisha Rakaa mbili za Alfajiri Ubainifu kinachoemwa ndani yake na ubainifu wa nyakati zake


١٩٧- باب تخفيف ركعتي الفجر وبيان مَا يقرأ فيهما، وبيان وقتهما


وعنْ أَبي هُريرةَ رَضِي اللَّه عَنْهُ أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قرَأَ في رَكْعَتَيِ الْفَجْرِ: {قُلْ يَا أَيُّهَا الْكَافِرُونَ} [الْكَافِرُونَ: ١] و {قُلْ هُوَ اللَّه أَحَدٌ} [الإخلاص: ١]     رواه مسلم


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



197. MLANGO WA KUZIKHAFIFISHA RAKAA MBILI ZA ALFAJIRI, UBAINIFU WA KINACHOSOMWA NDANI YAKE NA UBAINIFU WA NYAKATI ZAKE


Imepokewa kutika kwa Abû Huraira (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia kuwa Mtume ﷺ alisoma katika rakaa mbili za alfajiri: Qul yâ ayyuhal-kâfirûn na Qul-huwallâhu Ahad.”          [ Imepokewa na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.