0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1107. Riyadhu Swalihina Mlango wa kuzikhafifisha Rakaa mbili za Alfajiri Ubainifu kinachoemwa ndani yake na ubainifu wa nyakati zake


١٩٧- باب تخفيف ركعتي الفجر وبيان مَا يقرأ فيهما، وبيان وقتهما


وعَنِ ابنِ عباسٍ رَضِيَ اللَّه عَنْهمَا أَنَّ رَسُولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم كانَ يَقْرَأُ في رَكْعَتَي الْفَجْرِ في الأُولَى مِنْهُمَا: {قُولُوا آمَنَّا بِاللَّهِ ومَا أُنْزِلَ إِليْنَا} [البقرة: ١٣٦] الآيةُ الَّتي في البقرة، وفي الآخِرَةِ مِنهما: {آمَنَّا بِاللَّهِ وَاشْهَدْ بِأَنَّا مُسلمُونَ} [آل عمران: ٥٢]


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



197. MLANGO WA KUZIKHAFIFISHA RAKAA MBILI ZA ALFAJIRI, UBAINIFU WA KINACHOSOMWA NDANI YAKE NA UBAINIFU WA NYAKATI ZAKE


Imepokewa kutika kwa ‘Abdullâh bin ‘Abbâs (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesimulia: “Mtume ﷺ alikuwa akisoma katika rakaa ya kwanza ya Swala ya alfajiri: “Qûlû âmannâ billâhi wamâ unzila ilainâ,” mpaka mwisho wa Aya katika Sûratul-Baqarah, na katika rakaa ya pili akisoma: “Âmannâ billâhi wash-had bi-annâ muslimûn.”

Riwaya nyingine imesema: “Rakaa ya pili akisoma Aya ilio katika Sûrati Âli ‘Imrân: “Ta‘âlaw ilâ kalimatin sawâ-in bainanâ wabainakum.”        [ Imepokewa na Muslim ]


Begin typing your search above and press return to search.