١٩٧- باب تخفيف ركعتي الفجر وبيان مَا يقرأ فيهما، وبيان وقتهما
وعَنِ ابن عُمرَ رَضِي اللَّه عَنْهما قَالَ: كانَ رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يُصلِّي مِنَ اللَّيْلِ مثْنَى مثْنَى، ويُوتِر برَكْعَةٍ مِن آخِرِ اللَّيْلِ، ويُصَلِّي الرَّكعَتينِ قَبْل صَلاةِ الغَداةِ، وَكَأَنَّ الأذَانَ بأُذُنَيْهِ. متفقٌ عَلَيهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
197. MLANGO WA KUZIKHAFIFISHA RAKAA MBILI ZA ALFAJIRI, UBAINIFU WA KINACHOSOMWA NDANI YAKE NA UBAINIFU WA NYAKATI ZAKE
Imepokewa kutika kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Mtume ﷺ alikuwa akiswali usiku rakaa mbili mbili, akiswali Witri rakaa moja mwisho wa usiku na akiswali rakaa mbili kabla ya Swala ya asubuhi kana kwamba kutakimiwa karibuni.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]