0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1105. Riyadhu Swalihina Mlango wa kuzikhafifisha Rakaa mbili za Alfajiri Ubainifu kinachoemwa ndani yake na ubainifu wa nyakati zake


١٩٧- باب تخفيف ركعتي الفجر وبيان مَا يقرأ فيهما، وبيان وقتهما


وعَنْ حفصَةَ رضِي اللَّه عنْهَا أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم كانَ إِذا أَذَّنَ المُؤَذِّنُ للصُّبحِ، وَبَدَا الصُّبحُ، صلَّى ركعتيْن خَفيفتينِ.       متفقٌ عَلَيهِ

وفي روايةٍ لمسلمٍ: كانَ رسولُ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم إذَا طَلَعَ الفَجْر لا يُصلي إِلاَّ رَكْعَتيْنِ خَفيفَتيْنِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



197. MLANGO WA KUZIKHAFIFISHA RAKAA MBILI ZA ALFAJIRI, UBAINIFU WA KINACHOSOMWA NDANI YAKE NA UBAINIFU WA NYAKATI ZAKE


Imepokewa kutika kwa Hafsa (Radhi za Allah ziwe juu yake) amesimulia kuwa: “Mtume  ﷺ alikuwa wakati adhana ya asubuhi inapoadhiniwa, na asubuhi ikadhihiri, akiswali rakaa mbili hafifu.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim ]

Riwaya nyingine ya Muslim imesema: “Mtume ﷺ alikuwa inapotokeza alfajiri haswali ila rakaa mbili hafifu.”


Begin typing your search above and press return to search.