September 9, 2025
0 Comments
١٩٦- باب تأكيد ركعتي سنَّةِ الصبح
عن عائشةَ رضِيَ اللَّه عنْها عَنِ النبيِّ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قالَ: “رَكْعتا الفجْرِ خيْرٌ مِنَ الدُّنيا ومَا فِيها ” رواه مسلم
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
196. MLANGO WA MSISITIZO WA RAKAA MBILI ZA ASUBUHI
Imepokewa kutika kwa Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Rakaa mbili za alfajiri ni bora kuliko dunia na viliomo ndani yake.” [ Imepokewa na Muslim ].