September 8, 2025
0 Comments
١٩٦- باب تأكيد ركعتي سنَّةِ الصبح
عن عائشةَ رضِيَ اللَّه عنها قالت: لَمْ يَكُنِ النَّبِيُّ صلى الله عليه وسلم, عَلَى شَيْءٍ مِنَ النَّوَافِلِ أشَدَّ تَعَاهُدَاً مِنهُ عَلَى رَكْعَتَي الفَجْرِ. متفقٌ عَلَيهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
196. MLANGO WA MSISITIZO WA RAKAA MBILI ZA ASUBUHI
Imepokewa kutika kwa Âisha (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Hakuwa Mtume ﷺ akijilazimu mno chochote katika nawâfil kuliko rakaa mbili za alfajiri.” [ Wameaikiana Bukhari na Muslim ].