BUSTANI YA WATU WEMA
عن أبي مسعود عُقْبَةَ بن عمروٍ الأنصاريِّ البدريِّ رضي اللَّهُ عنه قال: لمَّا نَزَلَتْ آيةُ الصَّدقَةِ كُنَّا نُحَامِلُ عَلَى ظُهُورِنا. فَجَاءَ رَجُلٌ فَتَصَدَّقَ بِشَيْءٍ كَثِيرٍ فَقَالُوا: مُراءٍ، وجاءَ رَجُلٌ آخَرُ فَتَصَدَّقَ بِصَاعٍ فقالُوا: إنَّ اللَّه لَغَنِيٌّ عَنْ صاعِ هَذَا، فَنَزَلَتْ {الَّذِينَ يَلْمِزُونَ المُطَّوِّعِينَ مِنَ المُؤْمِنِينَ فِي الصَّدَقَاتِ وَالَّذِينَ لاَ يَجِدُونَ إلاَّ جُهْدَهُمْ} [التوبة 79] الآية. متفقٌ عليه
Kutoka kwa Abuu Mas’uwd ‘Uqbah bin ‘Amru Al-Answaariy Radhi za Allah ziwe juu yake amesema: Ilipoteremka Aya ya Sadaka tulikuwa tukibeba mizigo kwa migongo yetu. (ili wapate na wao chakutoa) Akaja mtu, akatoa sadaka mali nyingi. Wanafiki wakasema: Anajionyesha. Akaja mtu mwingine akatoa sadaka kiasi cha pishi. Wanafiki wakasema: Mwenyezi Mungu hana haja ya pishi la huyu! Ikatermka ka Aya [Wale wanao wabeuwa Waumini wanao toa sadaka nyingi na wasio nacho cha kutoa ila kadri ya juhudi yao, basi huwakejeli. Mwenyezi Mungu atawakejeli wao! Nao watapata adhabu chungu] [Surat At-Tawbah: 79.] [Imepokewa na Bukhari na Muslim]
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله