١٩٥- بابُ فَضْلِ السنَنِ الراتِبِة مَعَ الفَرَائِضِ وبيانِ أَقَلِّهَا وأَكْمَلِها وما بينَهُما
وعَنِ ابنِ عُمَر رَضيَ اللَّه عنْهُما، قالَ: صَلَّيْتُ مَعَ رسُول اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم رَكْعَتَيْنِ قَبْلَ الظُّهْرِ، وَرَكْعَتَيْنِ بَعْدَهَا، ورَكْعَتيْنِ بَعْدَ الجُمُعةِ، ورَكْعتيْنِ بَعْد المغرِبِ، وركْعتيْنِ بعْد العِشَاءِ. متفقٌ عَلَيهِ
شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى
195. MLANGO WA FADHILA ZA SUNNAH ZA RATIBA PAMOJA NA FARADHI, NA UBAINIFU WA UCHACHE NA UKAMILIFU WAKE NA BAINA YA HALI HIZO MBILI
Imepokewa kutika kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) amesimulia: “Niliswali pamoja na Mtume ﷺ rakaa mbili kabla adhuhuri na rakaa mbili baadaye, rakaa mbili baada ya Ijumaa, rakaa mbili baada ya maghrib na rakaa mbili baada ya ‘isha.” [ Wameafikiana Bukhari na Muslim .]