0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1095. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadhila za safu ya kwanza, Maamrisho ya kutimiza safu za kwanza kuziweka sawa na kukurubiana katika safu


١٩٤- باب فضلِ الصفِّ الأوَّلِ والأمرِ بإتمامِ الصفوفِ الأُولِ، وتسويِتها، والتراصِّ فِيهَا


 وعَنِ البراءِ رضيَ اللَّه عَنْهُ قَالَ: “كُنَّا إِذا صَلَّينَا خَلْفَ رسولِ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم أَحْببْبنَا أَنْ نَكُونَ عَنْ يَمِينِهِ، يُقبِلُ علَينا بِوَجْهِهِ، فَسمِعْتُهُ يَقُولُ:رَبِّ قِنِي عذَابَكَ يَوْمَ تَبْعَثُ أَوْ تَجْمَعُ عبَادَكَ      رواه مُسلِمٌ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



194. MLANGO WA FADHILA ZA SAFU YA KWANZA, MAAMRISHO YA KUTIMIZA SAFU ZA KWANZA, KUZIWEKA SAWA NA KUKARIBIANA KATIKA SAFU


Imepokewa kutika kwa Al-Barâ ( Radhi za Allah ziwe juu yake )  amesimulia: “Tulikuwa tunaposwali nyuma ya Mtume tukipendelea kuwa upande wa kuliani mwake akituelekea kwa uso wake. (Siku moja) nikamsikia akisema: “Ewe Mola Nikinge adhabu Yako siku Utakayowafufua waja Wako.”    [ Imepokewa na  Muslim. ]


Begin typing your search above and press return to search.