0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1094. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadhila za safu ya kwanza, Maamrisho ya kutimiza safu za kwanza kuziweka sawa na kukurubiana katika safu


١٩٤- باب فضلِ الصفِّ الأوَّلِ والأمرِ بإتمامِ الصفوفِ الأُولِ، وتسويِتها، والتراصِّ فِيهَا


 وعن عائشةَ رضي اللَّه عنها قالت: قالَ رسول اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم: “إِنَّ اللَّه وملائِكَتَهُ يُصلُّونَ عَلَى ميامِن الصُّفوف”   رواه أَبُو داود بإِسناد عَلى شرْطِ مُسْلِمٍ، وفيهِ رجلٌ مُخْتَلَفٌ في توْثِيقِهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



194. MLANGO WA FADHILA ZA SAFU YA KWANZA, MAAMRISHO YA KUTIMIZA SAFU ZA KWANZA, KUZIWEKA SAWA NA KUKARIBIANA KATIKA SAFU


Imepokewa kutika kwa ‘Âisha ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) amesema: “Mtume ﷺ amesema: “Hakika Allâh na Malika Wake wanaziswalia sehemu za upande wa kulia katika safu.”      [ Imepokewa na Abû Dâwûd ameipokea kwa sharti ya Muslim, katika isnadi hiyo muna mtu aliyetiliwa khitilafu katika umadhubuti wake.]


Begin typing your search above and press return to search.