0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1093. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadhila za safu ya kwanza, Maamrisho ya kutimiza safu za kwanza kuziweka sawa na kukurubiana katika safu


١٩٤- باب فضلِ الصفِّ الأوَّلِ والأمرِ بإتمامِ الصفوفِ الأُولِ، وتسويِتها، والتراصِّ فِيهَا


وعَنْ أَنسٍ رضيَ اللَّه عنهُ أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قَالَ: “أَتمُّوا الصَّفَّ المقدَّمَ، ثُمَّ الَّذي يلِيهِ، فَمَا كَانَ مَنْ نقْصٍ فَلْيَكُنْ في الصَّفِّ المُؤَخَّرِ”       رواه أبُو دَاوُدَ بإِسناد حسن


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



194. MLANGO WA FADHILA ZA SAFU YA KWANZA, MAAMRISHO YA KUTIMIZA SAFU ZA KWANZA, KUZIWEKA SAWA NA KUKARIBIANA KATIKA SAFU


Imepokewa kutika kwa Anas ( Radhi za Allah ziwe juu yake ) amepokea kuwa Mtume ﷺ  amesema: “Timizeni safu ya mwanzo, kisha inayofwatia, iwapo kutakuwa na upungufu basi uwe katika safu ya mwisho.”          [ Imepokewa na Abû Dâwûd kwa isnadi Hasan.]


Begin typing your search above and press return to search.