0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1091. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadhila za safu ya kwanza, Maamrisho ya kutimiza safu za kwanza kuziweka sawa na kukurubiana katika safu


١٩٤- باب فضلِ الصفِّ الأوَّلِ والأمرِ بإتمامِ الصفوفِ الأُولِ، وتسويِتها، والتراصِّ فِيهَا


وعَن ابن عُمرَ رضيَ اللَّه عنهما، أَنَّ رسولَ اللَّهِ صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم قالَ: “أَقِيمُوا الصُّفُوفَ وَحَاذُوا بَينَ المنَاكِب، وسُدُّوا الخَلَلَ، وَلِينُوا بِأَيْدِي إِخْوَانِكُمْ، وَلا تَذَرُوا فَرُجَاتٍ للشيْطانِ، ومَنْ وصَلَ صَفًّا وَصَلَهُ اللَّه، وَمَنْ قَطَعَ صَفًّا قَطَعهُ اللَّه”   رواه أبُو دَاوُدَ بإِسناد صحيحٍ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



194. MLANGO WA FADHILA ZA SAFU YA KWANZA, MAAMRISHO YA KUTIMIZA SAFU ZA KWANZA, KUZIWEKA SAWA NA KUKARIBIANA KATIKA SAFU


Imepokewa kutika kwa ‘Abdullâh bin ‘Umar  ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) amesimulia: “Mtume ﷺ amesema: “Simamisheni safu, linganeni mabega, muzibe mianya na ilainisheni mikono ya ndugu zenu, wala msiache mianya ya shetani. Na anayeunga safu, Allâh Atamwunga, na anayekata safu Allâh Atamkata.” .        [ Imepokelewa na Abû Dâwûd kwa isnadi Sahîh. ]


Begin typing your search above and press return to search.