0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

109. MLANGO WA SUNNAH YA KULA KWA VIDOLE VITATU, NA KUVIRAMBA VIDOLE, NA MAKRUHU YA KUVIPANGUSA KABLA YA KUVIRAMBA NA SUNNAH YA KURAMBA SINIA, KULICHUKUA TONGE LILILOANGUKA NA KULILA, KUFAA KUVIPANGUSA KATIKA KIGASHA,…..

باب استحباب الأكل بثلاث أصابع واستحباب لعق الأصابع، وكراهة مسحها قبل لعقها واستحباب لعق القصعة وأخذ اللقمة الَّتي تسقط منه وأكلها ومسحها بعد اللعق بالساعد والقدم وغيرها


عن ابن عباس – رضي الله عنهما قَالَ: قَالَ رسولُ الله – صلى الله عليه وسلم -: { إِذَا أكَلَ أَحَدُكُمْ طَعَاماً، فَلاَ يَمْسَحْ أَصَابِعَهُ حَتَّى يَلْعَقَهَا أَوْ يُلْعِقَها}      متفقٌ عَلَيْهِ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



109. MLANGO WA SUNNAH YA KULA KWA VIDOLE VITATU, NA KUVIRAMBA VIDOLE, NA MAKRUHU YA KUVIPANGUSA KABLA YA KUVIRAMBA NA SUNNAH YA KURAMBA SINIA, KULICHUKUA TONGE LILILOANGUKA NA KULILA, KUFAA KUVIPANGUSA KATIKA KIGASHA, …

Imepokewa na Abdullâh bin ‘Abbâs (Radhi za Allah ziwe juu yao) amesema: “Mtume ﷺ  amesema: “Mmoja wenu anapomaliza kula, asivipanguse vidole vyake mpaka avirambe au avirambishe (mtu).” [ Wameafikiana Bukhari na Muslaim]


Begin typing your search above and press return to search.