0%

https://uongofu.com/wp-content/uploads/2021/06/services-head-1.png

1089. Riyadhu Swalihina Mlango wa fadhila za safu ya kwanza, Maamrisho ya kutimiza safu za kwanza kuziweka sawa na kukurubiana katika safu


١٩٤- باب فضلِ الصفِّ الأوَّلِ والأمرِ بإتمامِ الصفوفِ الأُولِ، وتسويِتها، والتراصِّ فِيهَا


وَعَنِ النُّعْمَانِ بنِ بشيرٍ، رضيَ اللَّه عنهما، قَالَ: سمعتُ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم يقولُ: “لَتُسوُّنَّ صُفُوفَكُمْ، أَوْ ليُخَالِفَنَّ اللَّه بَيْنَ وجُوهِكُمْ”       متفقٌ عَلَيهِ

وفي روايةٍ لمسلمٍ: أَنَّ رسولَ اللَّه صَلّى اللهُ عَلَيْهِ وسَلَّم كانَ يُسَوِّي صُفُوفَنَا، حتَّى كأَنَّما يُسَوّي بهَا القِدَاحَ، حَتَّى رَأَى أنَّا قَد عَقَلْنَا عَنْهُ. ثُمَّ خَرَج يَوْماً فَقَامَ حَتَّى كَادَ يُكَبِّرُ، فَرَأَى رجُلا بَادِياً صدْرُهُ مِنَ الصَّفِّ فقالَ: “عِبَادَ اللَّهِ، لَتُسَوُّنَّ صُفُوفَكُمْ، أَوْ لَيُخَالِفَنَّ اللَّه بيْنَ وجُوهكُمْ


شرح الحديث مع فضيلة الشيخ خالد بن عثمان السبت حفظه الله تعالى



194. MLANGO WA FADHILA ZA SAFU YA KWANZA, MAAMRISHO YA KUTIMIZA SAFU ZA KWANZA, KUZIWEKA SAWA NA KUKARIBIANA KATIKA SAFU


Imepokewa kutika kwa An-Nu’mân bin Bashîr ( Radhi za Allah ziwe juu yao ) amesema: “Nilimsikia Mtume akisema: “Wallahi mutazipanga safu zenu au Allâh Atatia uadui nyoyoni mwenu.    [ Wameaikiana Buukhari na Muslim.]

Riwaya nyingine ya Muslim imesema: “Mtume alikuwa akizisawazisha safu zetu kana kwamba anasawazisha kwazo mshale, mpaka atuone kuwa tumefahamu. Siku moja akatoka, akasimama hata alipokaribia kupiga Takbîr, akamuona mtu kifua chake kimetokeza, akasema: “Enyi waja wa Allâh, mutasawazisha safu zenu au Allâh Atatia uadui nyoyoni mwenu!”


Begin typing your search above and press return to search.